NTV Video ›› Polisi Adungosi wamenasa lita 16,000 za pombe ya Ethanol kutoka Uganda
Maafisa wa polisi kituo cha Adungosi kilichoko eneo bunge la Teso Kusini, kaunti ya Busia wamenasa lita 16,000 za pombe aina ya Ethanol iliyokuwa ikisafirishwa kutoka nchi jirani ya Uganda. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today …